Ratiba ligi kuu TPL leo 15 January 2019
Ligi kuu soka ya tanzania , TPL itaendelea leo kwa mechi mbili kuchezwa ambapo Yanga ambao ndiyo vinara wa ligi kuu wakiwa na points 50 watawakaribisha Mwadui Fc kutoka Shinyanga.
Mechi ya Yanga na Mwadui Fc itaanza majira ya saa moja usiku katika uwanja wa Taifa Jijini Dar Es Salaam.
Na mechi ya pili itakuwa kati ya Alliance Fc kutoka Mahina wilayani Nyamagana Mkoani Mwanza watakaokuwa wenyeji wa Tanzania Prisons kutoka mitaa ya Sinde jijini Mbeya mechi hii itaanza saa kumi kamili uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza.

No comments:
Post a Comment