Download ,Install App bora ya michezo
Mo ataja mafanikio makubwa zaidi kuwahi kupata SimbaBoss wa klabu ya Simba Mohammed Dewji Mo ameelezea jinsi alivyoanza kuipenda Simba toka akiwa na miaka minne na mafanikio makubwa zaidi ambayo Simba imewahi kuyapata.
Nimekuwa mshabiki wa Simba tangu nikiwa mdogo, kipindi hicho kukiwa hakuna TV na hivyo nilikuwa nasikiliza mpira kwenye redio na bahati nzuri babu, baba, watoto wangu, na familia nzima ni mashabiki wa Simba.
Mafinikio tuliyoyapata kwa kipindi kile (2003) kuwa timu ya kwanza kwa ukanda wa Afrika Mashariki na kati kuifunga klabu bingwa ya wakati huo ya Afrika Zamalek ya Misri. Na ushindi huo unabaki kuwa moja ya mafanikio makubwa katika historia ya klabu yetu.
No comments:
Post a Comment