Tuesday, 1 January 2019

Ratiba Mapinduzi cup leo 2 January 2019

Ratiba Mapinduzi cup leo 2 January 2019
Jana michuano ya Mapinduzi Cup ilianza rasmi kwa mwaka 2019 kwa timu za Malindi na KVZ kucheza ambapo pambano lilimalizika kwa Sare ya Bila Kufungana.
Leo pia msomaji wa Kwataunit.co.ke michuano hiyo itaendelea kwa mechi mbili kuchezwa.
Mechi ya mapema itaanza saa kumi na robo katika uwanja wa Amani kati ya Chipukizi watakaopepetana na Mlandege Fc zote za ZAnzibar.
Huku mechi ya Pili itakuwa kati ya Azam Fc watakaokuwa dimbani kucheza na Jamhuri majira ya saa mbili usiku.

No comments:

Post a Comment