Ratiba Mechi 6 Ligi Kuu TPL Leo 2 January 2019
Leo kutakuwa na jumla ya Mechi 6 za Ligi kuu ya Tanzania Bara TPL zitakazochezwa kwenye viwanja mbalimbali nchini Tanzania baada ya kushuhudia jana mechi moja kati ya KMC na African Lyon KMC wakiibuka na Ushindi wa bao 2 kwa 0
Leo kutakuwa na mechi kati ya Stand United chama la wana watakaokuwa wenyeji wa JKT Tanzania uwanja wa Kambarage saa kumi akasiri.
Alliance Fc ambao kwasasa wamekuwa wakifanya vizuri na kujiondoa mkiani kabisa mwa ligi kuu leo watakuwa na shughuli dhidi ya Ruvu Shooting uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza.
Nao Kagera Sugar leo wao watakuwa wenyeji wa Mbao Fc kutoka mkoani Mwanza katika uwanja wa Kaitaba uliopo katika manispaa ya Bukoba.
Lipuli Fc ya Mkoani Iringa msomaji wa Kwataunit.co.ke wao watakuwa katika uwanja uliopo katikati ya manispaa ya Iringa Samora kuwakaribisha vijana kutoka Mitaa ya Sinde Tanzania Prisons ya Mbeya.
Nao Singida United wao watakuwa na kazi moja tu ya kuwakaribisha Coastal Union kutoka mkoani Tanga, Mechi itachezwa pale uwanja wa Namfua mkaoni Singida.
Leo kutakuwa na jumla ya Mechi 6 za Ligi kuu ya Tanzania Bara TPL zitakazochezwa kwenye viwanja mbalimbali nchini Tanzania baada ya kushuhudia jana mechi moja kati ya KMC na African Lyon KMC wakiibuka na Ushindi wa bao 2 kwa 0
Leo kutakuwa na mechi kati ya Stand United chama la wana watakaokuwa wenyeji wa JKT Tanzania uwanja wa Kambarage saa kumi akasiri.
Alliance Fc ambao kwasasa wamekuwa wakifanya vizuri na kujiondoa mkiani kabisa mwa ligi kuu leo watakuwa na shughuli dhidi ya Ruvu Shooting uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza.
Ratiba Mapinduzi cup leo 2 January 2019
Mkoani Mara wilayani Musoma kutakuwa na kazi kati ya wenyeji Biashara waliotambulisha kocha mpya jana Amri Said dhidi ya Mbeya City wagonga nyundo kutoka Mbeya.Nao Kagera Sugar leo wao watakuwa wenyeji wa Mbao Fc kutoka mkoani Mwanza katika uwanja wa Kaitaba uliopo katika manispaa ya Bukoba.
Lipuli Fc ya Mkoani Iringa msomaji wa Kwataunit.co.ke wao watakuwa katika uwanja uliopo katikati ya manispaa ya Iringa Samora kuwakaribisha vijana kutoka Mitaa ya Sinde Tanzania Prisons ya Mbeya.
Nao Singida United wao watakuwa na kazi moja tu ya kuwakaribisha Coastal Union kutoka mkoani Tanga, Mechi itachezwa pale uwanja wa Namfua mkaoni Singida.
No comments:
Post a Comment