Friday, 4 January 2019

Ratiba Mapinduzi Cup leo 4 January 2019

Ratiba Mapinduzi Cup leo 4 January 2019
Michuano ya Mapinduzi Cup kwa mwaka 2019 inaendelea kuchukua nafasi huko visiwani Zanzibar ambapo leo kutakuwa na mechi mbili baada ya jana kushuhudia Yanga ikishinda bao 1 kwa 0 mbele ya KVZ.
Mechi ya saa kumi na Robo itakuwa kati ya Jamhuri dhidi ya Malindi na kisha saa mbili na robo klabu ya Simba itashuka kucheza na Chipukizi.

No comments:

Post a Comment