Breaking News : Zahera amvua unahodha Yondani na kumpa huyu
Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera amemvua kitambaa cha unahodha beki
Kelvin Yondani na kumteua Ibrahim Ajibu kuchukua nafasi hiyo kwa madai
kuwa Yondani alichelewa kuripoti mazoezini baada ya siku tano za
mapumziko walizopewa kumalizika.
No comments:
Post a Comment