Sunday, 6 January 2019

Ratiba Mapinduzi Cup leo 7 January 2019

Ratiba Mapinduzi Cup leo 7 January 2019
Leo michuano ya mapinduzi inayoendelea huko visiwani Zanzibar kutakuwa na mechi 2 ambazo zitachezwa uwanja wa Aman ambapo Azam Fc itacheza na KVZ mechi ya mapema
Wakati Yanga ikicheza na Malindi Fc katika mchezo wa pili utakaoanza saa mbili na robo usiku.

07/01/2019saa 10:15Uwanja wa AmaanAzam FC VS KVZ (Kundi B)
07/01/2019saa 2:15Uwanja wa AmaanYanga VS Malindi (Kundi B)


Install App bora ya michezo

No comments:

Post a Comment