Nimeenda harusi nyingi wanawake wanaoolewa ni wale wa kawaida na
wenye kujitambua,hawa wanaojiita warembo wengi wao hawaolewi na huishia
kusimamia harusi za wanawake wenzao tu.
Pia wengi huishia kuwa nyumba ndogo,sababu kuu zinazofanya wasiolewe
ni wengi wanakuwa wanataka kuishi maisha ya tamthilia za ng’ambo anataka
mwanaume tajiri awe mtanashati sana.
Pia wanapenda sana matumizi makubwa story zake ni kuhusu matumizi ya hanasa,wanaume wengi ushtuka na kuishia ku hit na kusepa.
Hawaridhiki anakuwa anajiona mzuri sana hivyo mkikorofishana kidogo na akatongozwa nje basi uishia kwenda nje. Wengi huishia kutumiwa tu na kuachwa kwa sababu ya tabia zao na

No comments:
Post a Comment