Hawa wanawake wa kitanga wamezid jamani heeeeeeā¦..
Alikuwa kapanda na bwanake kwenye daladala wamekaa siti moja, mwanamke kamchukua bwanake akamuegesha kwenye kifua chake akawa anamuimbia nyimbo za kimahaba, halafu sio kwa sauti ya chini chini ilikuwa sauti kubwa tu mpaka kila mtu akawa anashangaa na kulalamika kuwa mahaba yao wakafanyie chumbaniā¦.
Alipokuwa anashuka akasema āmi ndio mtoto wa kitanga, nimefundwa nikafundika wenye kununa wapasuke twende tukalale laazizi wanguā hahahahahaha

No comments:
Post a Comment