
Matokeo Mtibwa VS Yanga leo 17 April 2019
Matokeo ya moja kwa moja ya mchezo wa ligi kuu soka ya Tanzania bara kati ya Mtibwa Sugar wenyeji wa mchezo dhidi ya Yanga.Mechi Imeanza
Mtibwa 0 – 0 Yanga
Dakika 5
Mtibwa 0 – 0 Yanga
Dakika ya 10
Mtibwa 0 – 0 Yanga
Dakika 15 YA 15 Ninja anafanya makosa almanusra Kibaya awafunge Yanga
Dakika ya 17 Makambo anawakosa Mtibwa bao na kuwa Kona
Dakika 20
Mtibwa 0 – 0 Yanga
Dakika ya 25 Thaban Kamusoko anapiga free kick Kado anaokoa na kuwa kona ilikuwa hatari
Dakika 40
Mtibwa 0 – 0 Yanga
HALF TIME
Mtibwa Sugar 0 – 0 Yanga
KIPINDI CHA PILI
Kipindi cha pili KimeanzaMtibwa 0 – 0 Yanga
Kipindi cha Pili Eric Msagati anaonyesha uwezo wa hali ya Juu anawachukua mabeki wawili lakini krosi yake inashindwa kutumiwa vyema na Makambo ambaye alibanwa na mabeki
Goaaaaaal dakika ya 57 Riphat Khamis anaipatia Mtibwa bao la Kwanza
Mtibwa 1 – 0 Yanga
Tambwe na Ajibu wanaingia kuchukua nafasi za Eric Msagati na Raphael Daud
Dakika ya 60 Yanga wanakoswa bao jingine mpira Unagonga mwamba
Mtibwa 1 – 0 Yanga
Dakika ya 63 Kelvin Sabato Kongwe anaingia kuchukua nafasi ya Ripahat Khamis ambaye anaonekana kuumia na kushindwa kuendelea na mchezo
DAKIKA YA 69 Mtibwa wanagongesha tena Mwamba wa Yanga, KELVIN Sabato Kongwe
Dakika ya 73 Yanga wanakoswa tena na Mtibwa wakati huo Mohammed Issa Banka anaingia kuchukua nafasi ya Kamusoko
Dakika ya 85 Yanga wanafunga bao mwamuzi wa wa pembeni Line 1 anakataa kwa kusema ni Offside, Inazua mjadala lakini maamuzi yanabaki kama yalivyo
FULL TIME
Mtibwa Sugar 1 – 0 Yanga
No comments:
Post a Comment