Saturday, 6 April 2019

LIVE :Matokeo Simba vs Tp Mazembe leo

LIVE :Matokeo Simba vs Tp Mazembe leo
Matokeo ya Moja kwa Moja kati ya Simba wenyeji wa mchezo dhidi ya Tp Mazembe kutoka Congo DRC moja kwa moja kutoka uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam.
Kuanzia saa kumi kamili
Simba 0 – 0 Tp Mazembe
Dakika ya ya 2 Mputu anawekwa chini na Viungo wa Simba
Jackson Mulenga anawekwa chini kwenye 18 Refa anasema amejiangusha na anapewa kadi ya njano
Dakika ya 8 Sergio Wawa anatoka baada ya kuumia na nafasi yake inachukuliwa na Juuko Murshid
Dakiak ya 10 Tp Mazembe wanajaribu kuitafuta Simba lakini wanaharibu mwishoni
Dakika ya 11 Simba wanawajibu Mazembe wanafanya shambulizi zuri mpira wa mwisho wa Mohammed Hussein unashindwa kuwafikia washambuliaji
Dakika ya 14 TP Mazembe wanajaribu shuti langoni mwa Simba Manula anadaka mpira
Dakika ya 15 Simba wanafanya Attempt langoni mwa Mazembe mpira wa Zimbwe Jr Unapaa juu ya lango
Dakika ya 17 Zimbwe Jr anapewa kadi ya njano
Dakika ya 20 Tp Mazembe wanafanya shambulizi lingine hatari langoni mwa Simba
Dakika 25
Simba 0 – 0 Tp Mazembe
Dakika ya 31 Meddie Kagere anawatikisa Tp Mazembe baada ya kuunganisha kwa tIK tAK krosi ya Zana Coulibaly, Tik Tak yake inagonga mwamba na kurudi uwanjani
Dakika ya 36 Mazembe wanapata Kona baada ya Simba kupitia kwa Mohammed Hussein kutoa mpira

HALF TIME

Simba 0 – 0 Tp Mazembe
KIPINDI CHA PILI
Kipindi cha pili kimeanza
Simba 0 – 0 Tp Mazembe
Dakika ya 48 John Bocco anakosa nafasi nyingine upande wa Simba
Dakika ya 53 John Bocco anakosa bao la wazi akiwa yeye na Kipa
Dakika ya 55 Simba wanafanya mabadiliko anatoka Chama anaingia Okwi
Dakika ya 57 Simba wanapata Penati baada ya V Pass ya Meddie Kagere kushikwa kwa mkono na Mchezaji wa TP Mazembe
John Bocco anapaisha penati
Dakika ya 70
Simba 0 – 0 TP Mazembe
Dakika ya 80 Emmanuel Okwi anapewa kadi ya njano baada ya kucheza faulo mchezaji alikuwa anaelekea langoni mwa Simba
Inapigwa free kick Aishi Manula anadaka mpira
FULL TIME
Simba 0 – 0 Tp Mazembe

No comments:

Post a Comment