Sunday, 31 March 2019

LIVE Matokeo TPL Simba vs Mbao Leo



Matokeo TPL Simba vs Mbao Leo

Mechi imeanza sasa
 Simba 0 – 0 Mbao

Timu zote zimeanza kwa kushambuliana
Dakika ya 11 Simba wanapata Free Kick lakini wanashindwa kupata bao.
Zana Coulibaly anaonekana kulalamika baada ya kugongana na mchezaji wa Mbao Fc
Dakika ya 13 Mbao Fc wanakosa bao la wazi, Said Junior anakosa bao la wazi Deo Munishi Dida anakuwa shujaa
Goaaaaaaaal John Bocco anaipatia Simba bao la Kuongoza
Simba 1 – 0 Mbao Fc

Dakika ya ya 27 Meddie Kagere anawakosa bao Mbao Fc
Dakika ya 32 David Mwasa anapewa kadi ya njano
Dakika ya 40
Simba 1 – 0 Mbao Fc
HALF TIME
Simba 1 – 0 Mbao Fc (John Bocco)

KIPINDI CHA PILI

Dakika ya 48 Simba wanapata kona walinzi wa Mbao Fc wanaokoa
Dakika ya 58 Simba wanapata penati
Goaaaaaaaal John Bocco anafunga bao la pili kwa Simba kwa njia ya penati
Dakika ya 70
Simba 2 – 0 Mbao
Dakika ya 79 Simba wanapata penati nyingine
Goaaaaaaaaaaal dakika ya 79 Meddie Kagere anafunga penati
Simba 3 – 0 Mbao Fc
FULL TIME
Simba 3 – 0 Mbao Fc (Bocco,Bocco, Kagere)

No comments:

Post a Comment