Moja kati ya mabasi ya mwendo kasi limewaka moto katika moja ya Injini zake maeneo ya Ubungo kituo cha Ubungo Maji, hata hivyo zimamoto walitokea na kufanya shukhuli za uzimaji.
No comments:
Post a Comment