Habari mpya kutoka Yanga leo 31 December 2018
Mabingwa kihistoria nchini Tanzania klabu ya Yanga leo imetoa Taarifa mbili mpya zote zikihusiana na kocha wao mkuu Zahera Mwinyi ambapo ya Kwanza ameelezea kuhusu makombe ambayo Yanga inashiriki na kuwa na mpango wa kupumzisha baadhi ya wachezaji kulingana na uzito wa Mashindano.
Kupitia ukurasa wa Yanga wa Instagram wa Yanga wameandika.
“kufuatana na nguvu yetu tulionayo(wachezaji)inatubidi tuangalie wapi tutapata faida,tupo na ligi kuu,tupo na Azam federation cup, mapinduzi cup na Sport Pesa inabidi sisi kama yanga tuwe na malengo kwenye kitu chenye manufaa kwetu tukiamua kuyataka makombe yote tunaweza kosa yote ivyo lazma baadhi ya wachezaji wapumzike kwaajili ya ligi na ASFC”
OFA YA ZAHERA KWA WAANDISHI WA HABARI
Kupitia press conference iliyofanyika makao makuu ya klabu ya yanga leo hii kocha mkuu Mwinyi Zahera, ametoa ofa ya chakula cha mchana kwa waandishi wote wa habari za michezo walio hudhuria mkutano huo.
.
.
Kocha zahera mbali na yote aliyozungunza kwenye mkutano huo amesema waandishi wa habari za michezo Tanzania nimoja ya watu waliofanya nae kazi vizuri kwa mwaka 2018.
.
.
“Leo ni siku ya mwisho ya mwaka 2018 kwasababu hiyo naomba kushukuru watu wote waliofanya kazi nasisi vizuri kama yanga mkiwemo waanshishi wa habari.
.
.
“Tunaenda kuanza mwaka 2019 kama Yanga tukiwa tunaongoza ligi yote hii nikwasababu ya Wachezaji wangu ambao licha ya matatizo yote tuliyonayo wao wameyageuza kuwa furaha kwao na kuwapa furaha mashabiki. kwa kuendelea kushinda mechi zetu mpaka sasa tumeshinda 16 nawashukusru sana wachezaji wangu.
.
.
“Salamu zangu zingine za mwaka mpya ziende kwa mashabiki wa yanga, hawa watu ni hatari sana tunawashukuru sana. wako nasisi kila sehemu amemaliza kwa kusema hivyo..!!

No comments:
Post a Comment