Monday, 31 December 2018

Ratiba Ligi kuu TPL leo 1 January 2019

Ratiba Ligi kuu TPL leo 1 January 2019
Ligi kuu soka ya Tanzania bara TPL itaendelea leo kwa mchezo mmoj a kuchezwa jijini Dar Es Salaam.
Mechi itakayochezwa leo msomaji wa Kwataunit.co.ke ni kati ya KMC ambao watakuwa wenyeji wa African Lyon zote za jijini Dar Es Salaam.
Mechi hiyo itachezwa uwanja wa Uhuru kuanzia majira ya saa kumi kamili alasir
 

 Install App bora ya michezo

No comments:

Post a Comment