Ratiba Ligi Kuu Tanzania Bara TPL Leo 28 December 2018
Ligi kuu soka ya Tanzania bara leo 28 December 2018 Itaendelea kwa mechi kadhaa kuchezwa katika viwanja mbalimbali .
Tanzania Prisons watakuwa wenyeji wa Coastal Union katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, Saa kumi kamili alasiri.
kagera Sugar wao watakuwa wenyeji wa JKT Tanzania mechi ikichezwa katika uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera Saa kumi kamili alasiri.
Nao KMC watakuwa wenyeji wa Mbao Fc inayonolewa na Kocha Ally Bushiri kwasasa hii itaanza saa nane mchana uwanja wa Uhuru.
Mkoani Shinyanga kutakuwa na mechi kati ya Chama la wana Stand United watakaowakaribisha Alliance Fc kutoka Mwanza mechi ikianza saa kumi kamili alasiri.

No comments:
Post a Comment