Matokeo Yanga vs Mwadui TPL leo
Matokeo mechi ya Ligi kuu kati ya Yanga wenyeji wa mchezo wakiikaribisha Mwadui Fc kutoka Mkoani Shinyanga.
Timu zote ziko uwanjani na Muda wowote mechi Itaanza
Mechi imeanza
Mechi Imeanza kwa Mwadui Fc kupiga MPIRA nje
Dakika ya 1 Mwadui wanapata Kona
Inapigwa kona inashindwa kuwa na madhara baada ya Paul Godfrey kuutoa mpira kwa kichwa na Kisha Yanga kucheza Counter Attack
Dakika ya 3 Salim Ayee anamjaribu Kindoki lakini Kindoki anakuwa Imara na kuutoa na kuwa Kona
Dakika 5
Yanga 0 – 0 Mwadui
Dakika ya 7 Mwadui wanakosa bao la wazi langoni mwa Yanga
Dakika ya 10 yanga wanafanya shambulizi langoni mwa Mwadui lakini Walinzi wa Mwadui wanatibua mipango
Dakika ya 11 Wakati Anko Mrisho Ngassa mzee wa Enjoy soka anaelekea langoni mwa Mwadui anawekwa chini na Kuwa Free kick.
Goaaaaaaal Captaiiiin Ibrahim Ajibu anapiga faulo ya Mbali na Kuifungia Yanga bao la Kwanza
Baada ya Kufunga anaenda mpaka kwa kocha Mwinyi Zahera na Kumpa Mkono
Yanga 1 – 0 Mwadui Fc
Frank Magingi anapewa kadi ya Njano
Ibrahim Ajibu anakosa penati kipa Masawe anautoa na kuwa Kona
Dakika 20
Yanga 1 – 0 Mwadui Fc
Dakika ya 20 Makosa ya Kelvin Yondani almanusra Nchimbi awahukumu shuti lake linapiga mashavuni kwenye nyavu
Dakika ya 22 yanga wanapata Kona
Dakika ya 27 Paul Godfrey anaingia vizuri lakini krosi yake inatolewa nje unakuwa mpira wa Kurushwa
Dakika 30
Yanga 1 – 0 Mwadui
Dakika ya 34 Salum Ayee anajaribu shuti langoni mwa Yanga lakini kanakuwa kashuti Kadogo kidogo anadaka na kuanzisha Move
Dakika ya 35 Iddi Mobby anajaribu shuti lakini Kindoki anakuwa shujaa na Kudaka
Dakika ya 38 Yanga wanapata Kona
Goaaaaaaal Amis Tambwe anawapa raha wanaYanga kwa mpira wa Kichwa kutoka kwenye krosi ya Ibrahim Ajibu.
Dakika ya 40
Yanga 2 – 0 Mwadui
Dakika ya 43 Amis Tambwe anakosa bao la wazi baada ya kuwekewa pasi safi na Mrisho Ngassa aliyekuwa amewaacha mabeki wa Mwadui

Download ,Install App bora ya Habari na michezo
Dakika ya 16 Yanga wanapata kona baada ya Frank Magingi kumweka Chini Amis Tambwe eneo la 18
Frank Magingi anapewa kadi ya Njano
Ibrahim Ajibu anakosa penati kipa Masawe anautoa na kuwa Kona
Dakika 20
Yanga 1 – 0 Mwadui Fc
Dakika ya 20 Makosa ya Kelvin Yondani almanusra Nchimbi awahukumu shuti lake linapiga mashavuni kwenye nyavu
Dakika ya 22 yanga wanapata Kona
Dakika ya 27 Paul Godfrey anaingia vizuri lakini krosi yake inatolewa nje unakuwa mpira wa Kurushwa
Dakika 30
Yanga 1 – 0 Mwadui
Dakika ya 34 Salum Ayee anajaribu shuti langoni mwa Yanga lakini kanakuwa kashuti Kadogo kidogo anadaka na kuanzisha Move
Dakika ya 35 Iddi Mobby anajaribu shuti lakini Kindoki anakuwa shujaa na Kudaka
Dakika ya 38 Yanga wanapata Kona
Goaaaaaaal Amis Tambwe anawapa raha wanaYanga kwa mpira wa Kichwa kutoka kwenye krosi ya Ibrahim Ajibu.
Dakika ya 40
Yanga 2 – 0 Mwadui
Dakika ya 43 Amis Tambwe anakosa bao la wazi baada ya kuwekewa pasi safi na Mrisho Ngassa aliyekuwa amewaacha mabeki wa Mwadui
No comments:
Post a Comment