Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ally Salehe Kiba alimaarufu Alikiba
leo amethibitisha kuwa kinywaji chake cha Mofaya kuanza kupatikana
katika mkoa wa Dar Es Salaam.
Download ,Install App bora ya Habari na michezo
Unaweza kuwasiliana nao kulingana na maeneo wanayopatikana.
:
Manzese. Magomeni. Ubungo. 0762841318 | 0717009035
:
Tabata. Ukonga. Segerea – 0717646022
:
Mbezi. Tegeta. Kawe. Mwenge. Salasala 0673207256
:
Kariakoo 0656990000| 0754990000| 0715629674
:
Kwa wateja wote wa rejareja mnaweza kuwasiliana na wakala wakuu kwenye number hizo . Mikoani kaeni tayari tunakuja karibuni, tunachukua order kutoka kwa wakala wakuu ( Distributors) kwenye number hiii 0755 333 302#mofayabyalikiba”
No comments:
Post a Comment