Tuesday, 15 January 2019

Ratiba ligi kuu Tanzania bara TPL leo 16 January 2019

Ratiba ligi kuu Tanzania bara TPL leo 16 January 2019
Ligi kuu soka ya Tanzania Bara itaendelea leo kwa mechi kadhaa kuendelea kuchezwa baada ya mechi 2 kuchezwa jana.
Ruvu shooting vs Azam Fc
Mtibwa Sugar vs Mbeya City
Ndanda vs JKT Tanzania
African Lyon vs Kagera Sugar
Mbao vs Singida United
Stand United vs Kagera Sugar
KMC vs Coastal Union

Download ,Install App bora ya michezo

No comments:

Post a Comment